ANKAL MICHUZI ATEMBELEA WADAU KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

 Ankal Michuzi akizungumza na Wadau Abdul Malik wa Globala Education Link na Pascala Mayala wa PPR Katika Maonyesho ya Sabasaba

 Mmoja wa Mangongoti  akiwa amembeba mtoto katika Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam
  Ankal Michuzi akizungumza na Wafanyakazi wa kampuni ya Magazeti ya Serikali DailyNews na Habari Leo katika Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam

Ankal Michuzi  akisalimiana na wafanyakazi wa kampuni ya Magazeti ya Serikali DailyNews na
Habari Leo katika Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam katika picha ya pamoja na wafanyakazi  wafanyakazi wa kampuni ya Magazeti ya Serikali DailyNews na Habari leo

Post a Comment

Previous Post Next Post

Popular Posts