Izzo B:
Msanii wa muziki wa
kizazi kipya toka mkoani Mbeya, Izzo B akiwapa kitu roho inapenda wakazi wa
jiji lake la Mbeya waliohudhuria katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014
linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Local artiste Izzo
Biznezz performs in his hometown, Mbeya during the Kili Music Tour Concert held
at the weekend. The concert is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
Nyomi 5:
Wakazi wa Mbeya wakifurahia
Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro
Premium Lager.
Mbeya residents in
jovial mood as they follow proceedings of the Kili Music Tour Concert held at
the weekend. The concert is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
Prof J&Sugu:
Msanii nguli wa muziki
wa hiphop professor J (kulia)
akimkaribisha jukwaani msanii mwenzake wa hip hop na Mbunge wa Mbeya Mjini
Joseph Mbilinyi aka Sugu wakati wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014
linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Legendry artiste,
Professor J (right) welcomes to stage his fellow hip hop artiste and MP for Mbeya
Urban Joseph Mbilinyi aka Sugu during the Kili Music Tour Concert held at the
weekend. The concert is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
Rich Mavoko:
Msanii wa Muziki wa
Kizazi Kipya, Rich Mavoko akiwajibika jukwaani katika tamasha la Kilimanjaro
Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa New City Pub, Mbeya. Tamasha hilo
limedhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Renowned artiste Rich
Mavoko performs during the Kili Music Tour Concert held at the weekend. The
concert is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
Weusi:
Wasanii wa Kundi la
Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2, G-Nako toka Kaskazini mwa Tanzania,
Jijini Arusha wakitoa burudani katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour Tamasha
hilo limedhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Artistes forming
the Weusi group, Joh Makini, Nikki 2 and
G-Nako from Arusha entertain Mbeya residents during the Kili Music Tour Concert
held at the weekend. The concert is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)