Mstahiki Meya Yusuph Mwenda, atembelea nane nane morogoro

 Jionee picha mbalimbali za matukio ya maonyesho ya sikukuu ya wakulima nane nane ambapo Mstahiki Meya Yusuph Mwenda akiongozana na Naibu meya Mh Songoro Mnyonge waliambatana na waheshimiwa madiwani kujionea kilimo cha mjini huko katika maonyesho yaliyofanyika mkoani morogoro

Post a Comment

Previous Post Next Post

Popular Posts