Kamishna
Mkuu Mhe. Abdulkarim Shah (Mbunge wa Mafia na Mwenyekiti wa Wabunge
Skauti Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na skauti jijini Dar es salaam
Peter Rodgers akiveshwa nishani ya ukamishna na kamishna wa mkoa wa Dar es Salaam abubakari mtitu
Peter Rodgers akipokea cheti kutoka kwa Kamisna a skauti mkoa wa Dar es Salaam Abubakari Mtitu mra baada ya kumuapisha kuwa kamishna wa Temeke