Waziri wa Mawasiliano Sayansi na teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na Madaktari bingwa na wataalamu wa mawasiliano wakati wa uzinduzi wa mkutano wa siku mbili juu ya Tiba kwa njia ya mtandao uliofanyika wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani, pembeni ni Dk. Amos Nungu mku wa kitengo cha mawasiliano DIT na mkurugenzi mkuu Mfuko wa Mawasiliano kwa Umma, Piter Ulanga. Picha na Humphrey Shao.