Voda com Tanzania yaanzisha huduma mpya ya lipa kwanza
tz360news-
0
zaidi ya wafanya biashara na mawakala 24 000 wamejiunga na huduma hiyo ya lipa na M-Pesa kama Chaibora na Serengeti Breweries hivyo sasa wafanya biashara wataweza kuweka fedha kiasi cha Sh 50 milioni kwenye akaunti zao za M-Pesa