MKUTANO WA WANAWAKE WAVUVU BARANI AFRIKA WAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM



Martin Van Der Knaap muwakilishi wa shirika la Chakula na Lishe Dunaini(FAO) Kwa ukanda wa Afrika akizungumza na Wanawake wanajiusisha na uvuvi katika mkutano mkuu wa umoja wa wavuvi wanawake barani afrika.
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali la Emedo, Editrudith Lukanga akizungumza wakati wa Mkutano wa Wanawake wavuvi Barani Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mbezi Garden Jijinio Dar es Salaam.


Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Wavuvi nchini Nigeria JeriedageroUwheraka akieleza uzoefu wa wanawake wavuvi nchini Nigeria
Baadhi ya Wanawake wanaoshiriki Mkutano wa Wanawake wa bara la Afrika wanaojiusisha na uvuvi wakijadili jambo wakati mkutano huo ukiendelea.




Post a Comment

Previous Post Next Post