Home Waziri Majaliwa Atoa Neno tz360news -August 13, 2020 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inafanya jitihada kuhakikisha tatizo la usafiri kwa wananchi wa Mafia linakwisha."Nataka niwahakikishie wananchi wa Mafia kwamba kazi inaendelea vizuri na hivi karibuni watapata usafiri wa uhakika."