Katibu mkuu
wa wa Wizara ya Nishati na Madini , Eliakim Maswi, akiwaonyesha wajumbe wa
Halmashauri kuu ya Chama cha mapinduzi na Kamati ya ulinzi na usalama namna
mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi jinsi itakavyofanya kazi Pembeni ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam
na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam. Picha na Humphrey Shao.