TTB YAWAPELEKA NGORONGORO WASHINDI WA PICHA MBUGANI

 Washindi wa shindano la kupiga picha wakiwa mbugani kutangaza utalii wa ndani wakiwa wameongoza na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya utalii Tanzania(TTB) ,Devotha Mdachi (katikati) wakiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JNA Dar es Salaam kwa ajili ya Safari ya kuelekea Ngorongoro  na Serengeti kujionea vivutio zaidi hili kuweza kuwavutia watanzania wengine kutembelea vivutio hivyo.
 Washindi wa shindano hilo wakiwa na wenza wao wakijadili jambo kabla ya kuondoka na ndege ya shirika la ndege nchini Air Tanzania kuelekea katika mbuga za wanyama za Ngorongoro na Serengeti katika moja ya Safari zilizoratibiwa na bodi ya utalii nchini (TTB) hili kuamasisha utalii wa ndani kwa Watanzania
Afisa uhusiano wa Bodi ya utalii Tanzania  akizungumza jambo na washindi wa shindano la kutuma picha kwa wapenzi ambao walishawahi kutembelea mbuga za wanyama ambao walipata kushinda tena fursa ya kutemmbelea Mbuga ya Ngorongoro na Serengeti.

Post a Comment

Previous Post Next Post