Mkurugenzi Msaidizi wa na Mratibu wa Maonyesho hayo katika ukanda Afrika ,Hifan Zhong,a akizungumza na Waandishi wa ahabri ni namna gani watanzania wanaweza kushiriki maonyesho hayo.
Mwandishi wa Habari wa Chanel ten ,Kibwana Dachi akiuliza swali juu ya vipodozi vitakavyoingizwa hapa nchini kutokea china.
Baadhi ya Wadau na Waandishi wa Habari walioshiriki katika mkutano huo wakifatilia mada zinazowasilishwa kwa Makini.
Sehemu ya Waandishi na Wadau wa Urembo walioshiriki Mkutano huo wakionekana kwa nyuma kama walivyopigwa picha na Mwandishi wetu.