Na Mwandishi Maalum, Pemba
SIRI za
ubaguzi za mgombea urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif zazidi
kufichuka kutokana na kuelezwa kuwa atamaliza vyama kwa kutangatanga kwa kuwa
anajua hawezi haupati urais wa Zanzibar kwa kuwa hashindi pia
haaminiwi na medani za utawala.
Pia, imeelezwa kuwa hana ubavu wala jeuri ya kushida kiti hicho na hata Maalim
Seif anafahamu kuwa alikataliwa toka enzi za Hayati Baba wa Taifa Mwalimu
Julius Nyerere alipokwenda kumtembelea na kuzungumza naye faragha nyumbani
kwake Msasani mwaka 1992.
Taarifa zaidi inaeleza Maalim Seif anafahamu fika kuwa hawezi kupewa
nchi na ndio maana anataka kuleta matatizo kwenye jamii kwa kutaka kuanzisha
chuki miongoni mwa wananchi ili mradi aweze kuona damu ikimwagika kwa maslahi
binafsi na si kwa watu wote.
“Maalim Seif mwanasiasa asiye na muamana kwani hakubaliki na vyombo vya utawala
na jamii .Kabla ya kufukuzwa CCM,amefanya vituko vingi ndani pamoja
na kuunda makundi yalioitwa Ukuta yakimdhalisha Rais Idris Abdul Wakil hadi
akazowemewa huko Wete kisiwani Pemba.
Taarifa zaidi ilisema “Mwalimu Nyerere ndiye aliyemshawishi Maalim Seif awanie
NECCCM. Alimtuma Mzee Pius Msekwa amfikishie ujumbe huo
.Wajumbe toka Zanzibar hawakumpa kura.Akashinda kwa kura za
Bara .Uchu wake wa madaraka na kumchafua Mzee Wakil ulimgharimu sana
kisiasa pamoja na baadae Mzee Hayati Abdul Jumbe.
Inaelezwa hata uchaguzi wa kwanza chama cha CUF kilimtaka Mohamed Dede’s awanie
urais badala ya Maalim seif na hata alipoambiwa wakati umefika chama kitoe
mgombea unguja hakuafiki. Akasema nguvu ya chama ni Pemba na Unguja
inasindikiza .Matamshi hayo yaliwakera kina Dk. Maulid Makame na Ali Haji
Pandu.
Maalim Seif si kiongozi bora bali ni mtu mwenye kisasi na kutaka kuleta mpasuko
kwenye jamii kwa kuwa amekuwa akitumia ukaribu wake na waarabu kuleta mpasuko
kwa Wazanzibar, ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakiishi kwa amani na ushirikiano
na yeye anataka kuurudisha mpasuko.
Hivyo, taarifa zaidi zinaeleza kuwa Maalim Seif anatuhuma za kuhusudu vitendo
vya ushoga ambapo ana tuhuma za kuwaingilia wanasiasa wenzake mbalimbali na
hata kwenda kinyuma na matakwa ya watanzania.
Maalim Seif ambaye kwa muda mrefu amekuwa akituhumiwa kujihusisha na vitendo
vya kuingiliwa ama kuingilia na vilivyopigwa marufuku na MwenyeziMungu, ambavyo
vinamfanya kushindwa kuwakomboa Wazanzibar ambao wamejipanga kumkataa kwa nguvu
zote.
Tags:
SIASA