Papa aonya makasisi kuacha kufanya siasa

 

Wito umetolewa kwa makasisi wa Kanisa Katoliki    kuacha kujihusisha na siasa.


Wito huo umetolewa na Papa Francis alipokuwa kwenye ziara ya siku moja huko Corcica, katika kisiwa cha Ufaransa cha Mediterania, ambapo katika mkutano huo alionya dhidi ya aina mbalimbali  za hali kiroho ambayo hali hiyo inachangia kuibua mizozo na migawanyiko duniani.


"Wachungaji wa Kanisa kuwa macho kutumia utambuzi na kuwa waangalifu," Alisema. 


Papa Francis alifanya safari yake ya tatu na pengine ya mwisho ya nje ya nchi mwaka 2024



.

Post a Comment

Previous Post Next Post