Mume wa mwanamuziki wa injili Frlora Mbasha , Emanuel Mbasha
ameweka wazi kuwa ajaweza kukutana na mkewe kimwili kwa zaidi ya miezi mitatu
sasa na wala ajui alipo kwa sasa .
Masha alisema maneno hayo alipokuwa akizungumza na Blogu hii
hivi karibuni jijini Dar es Salaama mara baada ya kuarishwa kwa kesi yake
katika mahakama ya wilaya ya ilala Jijini Dar es Salaam.
“Sijaonana na flora kw azaidi ya miezi mitatu sasa na wala
sijui yuko wapi labda tusibiri siku za usoni kama nitamuona ila lazima ajue
nampenada sana mke wangu na sifikiri kitu kibaya juu yake mpaka sasa hivyo
namuomba jae tuonane” alisema Mbasha.
Kwa upande wake mdogo wa Mbasha Patrick Mbasaha alisema
mapaka sasa awajui mahali shemeji yao alipo zaidi ya kupata taharifa kuwa
amesafiri kwenda nje ya nchi.
Aliongez akuwa mpaka wao awajui msimamo wa shemeji yao uko
wapi zaidi ya kuwachia ndugu yao kila siku awaende nae mahakamani.
mwisho