Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira, akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa wakati
wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili ,
yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini
Tanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira(kushoto), akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu 156
wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili ,
yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini
Tanga.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira(kushoto), akimvisha nyota mmoja wa wahitimu 156
wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili ,
yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini
Tanga.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Gwaride la heshima likipita mbele ya Mgeni Rasmi,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasiara, wakati wa Mahafali ya
kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili , yaliyofanyika Chuo cha
Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini Tanga.(Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi)
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili , yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini Tanga.Ambapo aliwaasa wahitimu kwenda kulihudumia Taifa kwa uadilifu.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)