TIGO YANOGESHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA MWANZA

 baraza la watoto mkoa wa mwanza
Wanachama wa Baraza la Watoto mkoa wa Mwanza,wakiigiza ukatili waupatao watoto majumbani,kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yaliyofanyika jijini Mwanza jana.
Meneja Huduma kwa Wateja wa Tigo Beatrice Kinabo,akisoma kitabu sambamba na wanafunzi wa shule ya Msingi Mabatini jijini Mwanza jana, kwenye maandamano ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika.


 Kikundi cha Sarakasi cha Umoja kikiburudisha kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yaliyofanyika jijini Mwanza jana

 Wanafunzi wa shule ya Msingi Mabatini wakiwa kwenye maandamano ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yaliyofanyika jijini Mwanza jana.


Post a Comment

Previous Post Next Post