Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Dar es Salaam,Dorothy Kilave,akikagua Maonesho ya Wanawake wajasilimali wa kata ya Saranga
Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam akiongea na Wanawake wa kata ya Saranga kwenye ziara ya Mwenyekiti wa wa UWT Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Dar es Salaam,Dorothy Kilave, akicheza na Wanawake wa kata ya Saranga
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ubungo akimkaribisha Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Dar es Salaam,Dorothy Kilave, akikabidhi kadi kwa Wanachama wapya wa UWT Wilaya ya Dar es Salaam.
Wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Kata ya Saranga wakimsikiliza Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Dar es Salaam,Dorothy Kilave