EFM YAKABIDHI BODABODA MBILI UFUNGUZI WA PAZIA LA SHIKA NDINGA MSIMU WA TANO

 Meneja wa Kituo Cha Radio Cha Efm, Dennis Busolwa(Sebo), Akitangaza Majina ya Washindi wa shindano la shika lililozinduliwa katika Viwanja vya Temeke Mwembe Yanga Jijini Dar es Salaam ambapo sebo alitumia muda huo kuwashukuru wasikilizaji wa Efm Kanda ya Pwani na Dar es Salaam

 Meneja HUduma za Bima Kutoka Benki ya NBC, Benjamini Nkaka, akikabidhi kadi ya gari kwa Mshindi wa shika ndinga upande wa Wanawake.
 Meneja HUduma za Bima Kutoka Benki ya NBC, Benjamini Nkaka, akikabidhi kadi ya gari kwa Mshindi wa shika ndinga upande wa Wanaume, Masudi Said
 Baadhi ya Washiriki wa Shindano la Shika Ndinga wakiwa wameshikilia gari hilo kuelekea hatua ya fainali
 Msanii wa Muziki wa Singeli Maharufu kwa jina la Mzee wa Bwax akitoa Burudani kwa wakazi wa Temeke Mwembe Yanga Jijini Dar es Salaam
baadhi ya Wakazi wa Wilaya ya Temeke waliofika kushuhudia ufunguzi wa pazia la shindano la shika ndinga kwa Wilaya ya Temeka.

Post a Comment

Previous Post Next Post