Mhandisi wa Maji wa Manispaa ya Ilala,Upendo Omaryakizungumza na Waandishgi wa Habari juu ya Uzinduzi wa wiki ya Maji kwa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka, DAWASA Inafanya Maadhimisho hayo kwa kutoa elimu kwa wakazi wa Dar es Salaam katika Viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo wadau mbalimbali wameshiriki
Mhandisi wa Maji wa Manispaa ya Ilala,Upendo Omaryakizungumza na Waandishgi wa Habari juu ya Uzinduzi wa wiki ya Maji kwa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka, DAWASA Inafanya Maadhimisho hayo kwa kutoa elimu kwa wakazi wa Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka DAWASA wakimsikiliza Mmoja wa Wakazi wa Dar es Salaam ambae amefika katika Maonyesho ya Wiki ya Maji yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam
Mwanamama akipata Maelezo kutoka kwa mmoja wa wato huduma kwa wateja juu ya huduma za DAWASA Katika Maonyesho ya Wiki ya Maji yanayoendeea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mhandisi wa Maji wa Manispaa ya Ilala,Upendo Omaryakizungumza na Waandishgi wa Habari juu ya Uzinduzi wa wiki ya Maji kwa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka, DAWASA Inafanya Maadhimisho hayo kwa kutoa elimu kwa wakazi wa Dar es Salaam
Mwanamama akipata Maelezo kutoka kwa mmoja wa wato huduma kwa wateja juu ya huduma za DAWASA Katika Maonyesho ya Wiki ya Maji yanayoendeea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
My pleasure to see your post. It is worth reading. Thank you for sharing. best hotel in sukhumvit
ReplyDelete