KESI YA ERICK KABENDERA YAPIGWA KALENDA MPAKA AGOSTI 30 MWAKA HUU

 Mwandishi wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera akipandishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo anakabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo uhujumu uchumi hata hivyo kesi yake imearishwa mpaka agosti 30 Mwaka huu
  Mwandishi wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera, akiwa ndani ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akisubiri kusomewa mashtaka
  Mwandishi wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera, akiondelewa ndni ya hukumbi wa mahakama na kurudishw amahabusu mpaka agosti 30

Post a Comment

Previous Post Next Post