Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akikagua bustani ya kabeji wakati alipotembelea banda la Jeshi la Magereza katika Kilele cha Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima Nane Nane kwenye uwanja wa Nyakabindi mkoani Simiyu, Agosti 8, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mashine ya kubana singa za mkonge (Pressing Mashine) wakati alipotembelea Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima Nane Nane kwenye uwanja wa Nyakabindi mkoani Simiyu, Agosti 8, 2020. Mashine hiyo imetengenezwa Kishapu na mbunifu Daudi Magili.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara NBC, Theobald Sabi (kushoto) wakati alipowasili kwenye banda la Benki hiyo katika Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima Nane Nane kwenye uwanja wa Nyakabindi mkoani Simiyu, Agosti 8, 2020. Wa pili kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, wa tatu kushoto ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanya, Bibi Zainab Telack.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akicheza wimbo wa uzalendo sambamba na kwaya ya Walimu wa mkoa wa Simiyu, wakati wa kilele cha maonesho ya nanenane katika Viwanja vya Nyakabindi, jana.